• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Palestina akubali kujiuzulu kwa waziri mkuu

    (GMT+08:00) 2019-01-30 09:08:37

    Shirika la habari la Palestina WAFA limesema Rais Mahmoud Abbas amekubali kujiuzulu kwa waziri mkuu Rami Hamdallah, na kukubali serikali yake ya sasa ya maafikiano kuendelea kufanya kazi hadi serikali mpya itakapoanzishwa. Shirika hilo pia limeripoti kuwa rais Abbas ataanza mazungumzo kuhusu kuanzishwa kwa serikali mpya itakayowashirikisha watu wa Chama cha Ukombozi wa Wapalestina PLO.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako