• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mlipuko mpya watokea Manbij

    (GMT+08:00) 2019-01-30 09:08:57

    Shirika la Waangalizi wa Haki za Binadamu la Syria limesema mlipuko uliolilenga gari la kijeshi la kundi la MMC linaloongozwa na Wakurdi umetokea mjini Manbij, kaskazini mwa Syria, na kumjeruhi vibaya dereva wa gari hilo. Huu ni mlipuko mpya katika mfululizo wa mashambulizi ya mabomu mjini humo. Mapema mwezi huu, milipuko miwili ilitokea wakati wanajeshi wa muungano unaoongozwa na Marekani walipofanya doria na kusababisha vifo vya askari wa Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako