• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama kuu ya Venezuela yamzuia Guaido kuondoka nchi hiyo na kuzuia mali zake

    (GMT+08:00) 2019-01-30 10:52:08

    Mahakama kuu ya Venezuela imemzuia kiongozi wa upinzani Juan Guaido aliyejitangaza kuwa rais wa muda, kuondoka nchi hiyo na kuzuia mali zake. Uamuzi huo umekuja saa chache baada ya mwanasheria mkuu Tarek William Saab, kutangaza kuwa ameiomba mahakama kuu kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya Guaido.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako