• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Nigeria waendelea vizuri

  (GMT+08:00) 2019-01-30 17:10:59

  Mkutano wa Mwaka 2018 wa kazi za kampuni za China nchini Nigeria umesema ushirikiano wa uchimi kati ya China na Nigeria umeendelea kupata mafanikio mazuri.

  Mwaka jana, thamani ya biashara ya nchi hizo mbili imefikia dola za kimarekani bilioni 15.3, na kuongezeka kwa asilimia 10.8 zaidi kuliko mwaka 2017. Nigeria itaendelea kudumu kuwa soko la kwanza la ujenzi la China barani Afrika, soko la pili kwa biashara ya nje, na mshirika mkubwa wa tatu wa biashara na uwekezaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako