• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mashindano ya riadha ya wazi ya Cross Country kufanyika Arusha

    (GMT+08:00) 2019-01-31 08:37:15
    Hatua ya kwanza ya mashindano ya wazi ya riadha ya cross country taifa inatarajiwa kufanyika februari 2 mwaka huu. Kwa mujibu wa katibu chama cha riadha mkoa wa Arusha (ARAA) Alfredo Shahanga, maandalizi yamekamilika. Wanariadha tayari wameshajiandikisha kwa ajili ya mashindano hayo.

    Shahanga ameweka wazi kuwa baada ya mashindano hayo, yatafuata mashindano ya wazi taifa mjini Moshi Kilimanjaro februari 16 kwenye viwanja vya gofu. Mbio zitakazoshidaniwa ni za kilomita 10 kwa wanaume na wanawake. Pia kutakuwa na mbio za vijana za kilomita 8 na za watoto za kilomita 6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako