• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wasimamizi wa amani watoa wito kusimamisha mapambano Sudan Kusini

  (GMT+08:00) 2019-01-31 10:04:10

  Wasimamizi wa amani wa Sudan Kusini wametoa wito kwa pande zote kufufua makubaliano ya amani na kusimamisha mapambano katika mji wa mpakani wa Yei.

  Taarifa iliyotolewa na kamati ya Kamisheni ya pamoja ya Usimamizi na Tathmini JMEC imesema, imepata ripoti mbalimbali za mapambano kusini magharibi mwa Sudan Kusini na kutaka pande zote kusimamisha matumizi ya silaha.

  Habari zinasema, shirika la kushughulikia mabomu ya ardhini la Umoja wa Mataifa UNMAS limeondoa mabomu milioni 1 nchini Sudan Kusini, ndani ya miaka 14 iliyopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako