• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yawatambua watuhumiwa wa mauaji ya watoto 10

  (GMT+08:00) 2019-01-31 10:04:30

  Serikali ya Tanzania imewatambua watuhumiwa wa mauaji ya watoto kumi kusini mwa jimbo la Njombe. Watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya wananchi kukasirishwa na mauaji ya watoto sita.

  Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Bw. Kangi Lugola amesema anasikitishwa na vifo vya watoto hao na kusema mauaji hayo yanahusiana na imani za kishirikina. Pia amesema, watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani hivi karibuni. Akiongea jana bungeni Bw. Lugola alisema

  Habari pia zinasema Umoja wa Mataifa umelaani mauaji hayo na kutoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga hao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako