• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa masuala ya kibinadamu wa UM asisitiza umuhimu wa kuingia Syria

    (GMT+08:00) 2019-01-31 10:38:55

    Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu Bw. Mark Lowcock amesisitiza umuhimu wa kuingia Syria ili misaada iweze kuwafikia watu wenye mahitaji, haswa katika majira ya baridi. Amesema msafara wa msaada unahitajika kwa ajili ya watu elfu 42 waliokwama huko Rukban, eneo la mpakani kati ya Syria na Jordan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako