• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sekta ya utamaduni ya China yadumisha ukuaji wa kasi kwa mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2019-01-31 15:59:47

    Mamlaka ya Takwimu ya China (NBS) imesema sekta ya utamaduni ya nchi hiyo pamoja na biashara husika zimeendelea kukua kwa kasi kwa mwaka jana.

    Mamlaka hiyo imesema, jumla ya pato lililotokana na sekta ya utamaduni na biashara husika ilifikia dola za kimarekani trilioni 1.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 8.2 ikilinganishwa na mwaka 2017.

    Huduma za habari na taarifa zilikua kwa kasi zaidi mwaka jana kwa kuingiza dola za kimarekani bilioni 120.7, ikiwa ni ongezeko la asilimia 24 ikilinganishwa na mwaka 2017.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako