• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa nchi tano zenye silaha halali za nyuklia wafikia makubaliano muhimu

    (GMT+08:00) 2019-01-31 19:03:46

    Mkutano wa siku mbili wa nchi tano zenye silaha halali za nyuklia umemalizika leo hapa Beijing.

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Gen Shuang amesema, mkutano huo umefikia makubaliano muhimu matatu, nchi hizo zimeahidi kushirikiana kubeba wajibu wa amani na usalama wa kimataifa, zimeahidi kulinda pamoja Mkataba wa kutoeneza silaha za nyuklia, na pia zimeahidi kuendelea kutumia jukwaa la ushirikiano wa nyuklia ili kudumisha mazungumzo na uratibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako