• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kufungua ukurasa mpya wa diplomasia zake zenye umaalumu wa kichina mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-02-01 08:28:17

    Waziri wa mambo wa nje Bw. Wang Yi amesema katika mwaka mpya China itaendelea kutekeleza kikamilifu fikra za rais Xi Jinping kuhusu masuala ya diplomasia, na kuendelea kufungua ukurasa mpya wa diplomasia za nchi kubwa zenye umaalumu wa kichina.

    Akihutubia tafrija ya mwaka mpya kwa mabalozi na wajumbe wa mashirika ya kimataifa nchini China jana hapa Beijing, Bw. Wang Yi amesema, kamwe China haifanyi umwamba, na wala haitafuti kujipanua. China inashikilia kujenga aina mpya ya mahusiano ya kimataifa yenye haki na usawa, kuheshimiana na kunufaishana, na China inatumai kuwa nchi nyingine pia zitachagua na kufuata njia ya kujiendeleza kwa amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako