• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la usalama la UM la larefusha vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

    (GMT+08:00) 2019-02-01 08:43:25

    Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la kurefusha muda wa vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya kati kwa mwaka mmoja,

    Azimio nambari 2454 lilipitishwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa Baraza la usalama la Umoja wa mataifa, kuamua kurefusha vikwazo vya silaha, kusafiri na kuzuia mali, hadi tarehe 31 Januari 2020.

    Azimio hilo pia limerufusha muda wa jopo la wataalamu hadi mwezi februari mwaka 2020, ili kusimamia utekelezaji wa vikwazo hivyo, na limeweka vigezo muhimu kwenye sekta mbalimbali, vinavyoweza kulisaidia baraza la usalama kupitia vikwazo hivyo tarehe April 30, mwaka 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako