• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Shirikisho Afrika-Zamalek kutua jijini Nairobi asubuhi hii tayari kuivaa Gor Mahia

    (GMT+08:00) 2019-02-01 08:59:02
    Miamba ya Misri, Zamalek wanatarajiwa kutua jijini Nairobi mapema leo kwa mechi ya soka ya kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya wafalme wa Kenya, Gor Mahia mchezo utakaosakatwa Jumapili Februari 3 kwenye uwanja wa Kasarani jijini Nairobi.

    Zamalek na Gor Mahi azote zipo katika kundi D, waamuzi wa mchezo huo tayari wameshafahamika kuwa mwamuzi wa kati ni Celso Armindo Alvacao wa Msumbiji, washika vibendera ni Arsenio Chadreque na Zacarias Horacio Baloi, naye Helly Zafinimanga kutoka Madagascar yeye ni kamisaa wa mchezo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako