• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mtanzania wa chini ya miaka 15 kukipiga Besiktas

    (GMT+08:00) 2019-02-01 08:59:42
    Mwenyekiti wa chama cha soka Jijini Dar es salaam (DRFA), Jamal Kasongo amesema changamoto ya miundombinu pamoja na usimamizi ni tatizo kubwa kwenye kukuza vipaji vya watoto na vijana kwenye soka nchini Tanzania.

    Mkoa wa Dar es Salaam umefanikiwa kufanikisha safari ya mchezaji kinda Rabbin Sanga kwenda kufanya majaribio ya soka nchini Afrika Kusini. Sanga atakwenda kwenye kikosi cha Besiktas cha vijana chini ya umri wa miaka 16 ambapo atafanya majaribio na kama atafuzu atasajiliwa moja kwa moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako