• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Huawei yahimiza mafunzo ya Tehama katika chuo kikuu cha Kenya

    (GMT+08:00) 2019-02-01 09:11:43

    Kampuni ya teknolojia ya mawasiliano ya Huawei ya China imeanzisha ushirikiano na Chuo Kikuu cha kibinafsi cha Zetech cha Kenya, na itakisaidia kuhimiza mafunzo ya Tehama.

    Huawei imesema itatoa dola elfu 53 za kimarekani kwa Chuo Kikuu cha Zetech kupata vifaa vya kisasa zaidi vya mafunzo, ili kuimarisha kitivo chake cha Tehama na uhandisi.

    Naibu mkuu wa chuo kikuu hicho Bw. Njenga Munene ameishukuru Huawei kwa kujishughulisha na mafunzo ya Tehama, na kusema ushirikiano kati ya pande hizo mbili utawasaidia wanafunzi kuongeza uwezo wa uvumbuzi wa Tehama, na kuhimiza maendeleo ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako