• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kuwa mwenyeji wa mkutano wa Baraza la kujifunza duniani GLC mwezi Oktoba

    (GMT+08:00) 2019-02-01 09:19:30
    Kenya inatarajia kuandaa mkutano wa Baraza la kujifunza la kimataifa GLC mwezi wa Oktoba ambao utajadili jinsi nchi mbalimbali zinavyoweza kuongeza ufanisi wa kujifunza kwa kutumia teknolojia ya kidijitali.

    Waziri wa elimu wa Kenya Bibi Amina Mohamed amesema, mkutano huo utashirikisha wasomi, viongozi wa viwanda na sekta zisizo za faida, kutafuta njia bora ya matumizi ya teknolojia ya kisasa katika kuongeza ufanisi wa kufundisha na kujifunza.

    Meneja wa sekta ya elimu ya Benki ya Dunia kanda ya kusini mwa Afrika Bw. Sajitha Bashir, matumizi ya teknolojia ya kidijitali ni njia muhimu ya kuboresha ufanisi wa kujifunza ambao haukupatikana kwa watoto wengi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako