• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Guterres amteua mkuu wa tume ya UM mjini Hodeidah, Yemen

    (GMT+08:00) 2019-02-01 09:27:38

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amemteua Luteni Jenerali Michael Anker Lollesgaard kutoka Denmark, kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Uratibu ya Upangaji Mpya RCC na mkuu wa Tume ya Umoja wa Mataifa ya kusaidia utekelezaji wa makubaliano ya Hodeidah kati ya serikali ya Yemen na waasi wa Houthi. Bw. Lollesgaard anachukua nafasi iliyoachwa na Meja Jenerali Patrick Cammaert kutoka Uholanzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako