• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lebanon yaanzisha serikali mpya baada ya miezi kadhaa ya mgogoro

    (GMT+08:00) 2019-02-01 09:27:59

    Lebanon ametangaza kuanzishwa kwa serikali mpya na kumaliza hali ya kukwama kisiasa iliyodumu kwa miezi tisa. Katibu mkuu wa Baraza la Mawaziri Bw. Fouad Fleifel amesema serikali ya umoja wa kitaifa ya Lebanon itakayoongozwa na waziri mkuu Bw. Saad Hariri, ina mawaziri 30 wanaotoka pande mbalimbali kuu za kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako