• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump kutangaza tarehe na mahali pa kufanyika mkutano wa pili kati yake na Kim wiki ijayo

    (GMT+08:00) 2019-02-01 09:28:26

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema tarehe na mahali pa kufanyika kwa mkutano wa pili kati yake na kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, vimeamuliwa na vitatangazwa wiki ijayo. Pande hizo mbili zote zimeeleza kuwa na matarajio na mkutano huo. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Jumatano alidokeza kuwa mkutano huo utafanyika barani Asia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako