• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watoto 30 wafariki nchini Syria kutokana na mabavu, kukimbia makazi na hali ngumu tangu Disemba

    (GMT+08:00) 2019-02-01 09:28:45

    Matumizi ya mabavu, kukimbia makazi na hali ngumu katika maeneo ya kaskazini na mashariki mwa Syria vimesababisha vifo vya watoto 32 tangu mwezi Disemba mwaka jana. Ripoti iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema inakadiriwa kuwa watu elfu 23, wengi wao wakiwa wanawake na watoto wamekimbia mapambano yanayoendelea na kufika katika kambi baada ya safari ya siku tatu katika hali mbaya ya hewa yenye baridi jangwani wakiwa na chakula kidogo na kukosa sehemu za kujihifadhi njiani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako