• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Libya lamwua gaidi anayeshukiwa kufanya shambulizi dhidi ya balozi wa Marekani nchini Libya

    (GMT+08:00) 2019-02-01 18:27:59

    Jeshi la Libya mashariki mwa nchi hiyo limemwua kwa risasi gaidi anayeshukiwa kushiriki katika shambulizi dhidi ya ubalozi wa Marekani huko Benghazi nchini Libya.

    Jeshi hilo limetaja mtu huyo kuwa ni Adel Abdally ambaye ana rekodi ya muda mrefu ya uhalifu, ikiwemo mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Marekani mjini Benghazi ambayo yalisababisha vifo vya wamarekani wanne akiwemo balozi wa Marekani nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako