• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazoezi ya nne ya Tamasha la Sikukuu ya Spring la mwaka 2019 yafanyika

    (GMT+08:00) 2019-02-01 20:34:45

    Mazoezi ya nne ya Tamasha la Sikukuu ya Spring la mwaka 2019 linaloandaliwa na Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha Taifa la China yamefanyika Januari 31.

    Mkuu wa kituo hicho amesema, tamasha hilo linatakiwa kufuata maisha halisi ya watu ili kuwagusa na kuwafurahisha zaidi, pia anatumaini kuwa watazamaji wataweza kujifunza mengi kutokana na tamasha hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako