• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China awatembelea wakazi wa mji wa Beijing

    (GMT+08:00) 2019-02-02 08:36:41

    Rais Xi Jinping wa China tarehe 1 aliwatembelea wakazi wa mji wa Beijing na kutoa salamu za mwaka mpya wa jadi wa China kwa watu wa makabila mbalimbali nchini China. Asubuhi rais Xi aliwatembelea wakazi wa eneo la mashariki la mtaa wa Qianmen, kuongea nao na kutengeneza pamoja chakula cha jadi cha kichina kiitwacho Jiaozi.


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako