• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa mambo ya nje wa EU wafikia makubaliano ya kuratibu misimamo katika uhusiano na China

    (GMT+08:00) 2019-02-02 18:51:46

    Ofisa wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia mambo ya nje na sera ya usalama Bibi Federica Mogherini amesema mkutano rasmi wa siku mbili wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Umoja wa Ulaya umefikia makubaliano kuhusu kuratibu misimamo na kuboresha kubadilishana habari, na maendeleo ya uhusiano na China katika suala la uhusiano na maendeleo na China.

    Bibi Mogherini amesema mjini Bucharest Romania, kuwa mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wataendelea kujadili uhusiano kati ya EU na China katika mkutano wa Baraza la Ulaya mwezi Aprili

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako