• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Israel yajenga ukuta wa ulinzi katika eneo la Gaza

  (GMT+08:00) 2019-02-04 18:21:55

  Waziri mkuu wa Israel Benjamin Natanyahu ametoa onyo kuwa, kama maandamano katika eneo la Gaza hayatamalizika, Israel itachukua njia ya kinguvu bila ya kusitasita.

  Bw. Netanyahu pia amesema, Israel imeshaanza kujenga ukuta wa ulinzi katika eneo la mpaka la Gaza ili kuzuia uingiliaji wa wapiganaji wa ugaidi.

  Habari zinasema, tangu tarehe 30, mwezi wa Machi, mwaka jana, wapalestina waanze "Maandamano ya kurudi", mapambano yametokea mara kwa mara katika eneo hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako