• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East Africa: Maandamo nchini Sudan ya athiri mauzo ya nje Uganda.

    (GMT+08:00) 2019-02-04 20:33:19
    kiasi cha mauzo ya kahawa kutoka Uganda hadi Sudakn kimeshuka sana tangu Juni 2018.

    Vyanzo vya viwanda vilivyosema kuwa takwimu zilizidi kuwa mbaya mnamo Novemba mwaka jana wakati Uganda ilifirisha mifuko 700 ya kahawa tu Khartoum, ingawa Desemba hii takwimu iliongezeka hadi mifuko 10,500.

    Sudan ndio soko kubwa ya kahawa ya Uganda, na wauzaji wa kahawa nchini Uganda wameathiri na mauzo ya chini kuelekea Sudan.

    Sudan mara kwa mara inachukua nafasi ya pili baada ya Umoja wa Ulaya kama soko kubwa ya Uganda ya mauzo ya nje ya kahawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako