• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali Ya Rwanda Inajitahidi Kuvutia Wawekezaji Wa Uturuki Na UAE

    (GMT+08:00) 2019-02-04 20:34:35
    Serikali ya Rwanda inajitahidi kuvutia wawekezaji wa Uturuki na UAE nchini,

    ili kuendeleza Uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja.

    Nchi hizi mbili katika miaka ya hivi karibuni zilifanya uwekezaji mkubwa nchini Rwanda kwa makadirio ya kukua zaidi.

    Uwekezaji wa hivi karibuni kutoka UAE unajumuisha $ milioni 35 kwa kituo cha kusimamia mizigo na Baraza la Dubai Ports World (DPW)

    Makampuni ya Kituruki yameonyesha nia ya kuwekeza nchini Rwanda katika sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na nishati na kilimo.

    Jumla ya uwekezaji nchini Rwanda imesimama $ bilioni 2.006 mwaka 2018 kutoka $ bilioni 1.675 iliyoandikwa mwaka 2017.

    jumla ya Asilimia 47 ya uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako