• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya Serikali Ya Tenga Sh Bilioni 28 Kupambana Na Athari Za Ukame

  (GMT+08:00) 2019-02-04 20:54:43

  Serikali ya Kenya imetenga sh bilioni 28 kupambana na athari za ukame.

  waziri wa Maji na Usafi Simon Chelugui amesema Serikali kwa hivi sasa inashughulikia miradi 28 katika kaunti ambazo zinaathirika na ukame ikiwa ni pamoja na Mandera, Marsabit, Baringo na West Pokot.

  Serikali inashirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

  Aidha amesema Wizara inafanya kazi na washirika wengine ikiwa ni pamoja na Mamlaka ya Usimamizi wa Ukame mpaka hali hiyo inaboreshwa mwezi Aprili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako