• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: East African Breweries yatangaza ukuaji wa asilimia 33

    (GMT+08:00) 2019-02-05 18:38:33
    Kampuni ya pombe ya East African Breweries imetangaza ukuaji wa asilimia 33 huku mapato yake yakifikia dola milioni 64.

    Imesema ukuaji wa miezi 6 hadi desemba mwaka 2018 umechangiwa na mazingira mazuri ya uendeshaji katika kanda, na kuungwa mkono na uwekezaji katika bidhaa zake.

    Nchini Kenya na Uganda mauzo yalikua kwa asilimia 12 na nchini Tanzania asilimia 26.

    Mwaka ujao, Kampuni hiyo inapanga kuanza oparesheni kwenye kiwanda chake mjini Kisumu ambako iliwekeza dola milioni 49.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako