• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afreximbank kutoa mikopo kwa wafanyabiashra

    (GMT+08:00) 2019-02-05 18:39:12
    Biashara za Afrika zinazohusika na kilimo, viwanda, sekta ya kifedha na utalii, zitaanza kupokea mikopo kutoka benki ya Afrexim huku taasisi hiyo ikijitayarisha kuanza uendeshaji wa mfuko wake wa mauzo ya nje.

    Uendeshaji wa Mfuko wa mauzo ya Nje ya Afrika (FEDA) umepiga hatua mpya kwenye mkutano wa wa Bodi ya Wakurugenzi huko Cairo, Misri.

    FEDA, ambayo inamilikiwa na benki ya Afrexim imeanzishwa ili kutoka mitaji kwa makampuni katika biashara ya kilimo , viwanda, na huduma za kifedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako