• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa pongezi ya mwaka mpya wa jadi wa kichina

  (GMT+08:00) 2019-02-05 18:45:35

  Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ametoa video ya pongezi ya mwaka mpya wa jadi wa kichina kwa wachina wote duniani, na kushukuru China na wananchi wake kwa kuunga mkono Umoja wa Mataifa.

  "Chun Jie Kuai Le! Heri ya mwaka mpya! Katika siku hiyo ya furaha, nawatakia wote heri ya mwaka mpya! Katika mwaka ujao, tushirikiane kujenga dunia yenye amani na ustawi kwa ajili ya binadamu wote. Pia nataka kutumia fursa hii, kushukuru China na wananchi wake kwa kuunga mkono Umoja wa Mataifa. Dunia ya sasa inakabiliana na changamoto, lakini tunajua wote wanashirikiana kujitahidi, ndipo malengo yatatimizwa. Nawatakia ninyi na wanafamilia afya njema, mafankio na furaha. Asanteni."

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako