• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Kiwanda cha mihogo cha Lindi kukamilika hivi karibuni

    (GMT+08:00) 2019-02-06 15:18:43
    Ujenzi wa kiwanda cha mihogo cha Lindi kimekamilika kwa asilimia 90.

    Serikali imesema kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa kusaga tani 60 za mihogo kwa siku.

    Naibu waziri wa biashara, viwanda na uwekezaji Stella Manyanya amesema tayri kiwanda hicho kinafanya oparehesni za majaribio kwa kusaga unga.

    Manyanya amesema kiwanda hicho ni sehemu ya mpango wa serikali wa kuwa na uchumi viwanda ili kusaidia ukuaji wa pato la taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako