• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ethiopia: Ethiopia kujenga uwanja mpya wa ndege

  (GMT+08:00) 2019-02-06 15:21:15

  Baraza la mawaziri nchini Ethiopia linatarajiwa kuidhinisha eneo la ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege.

  Shirika la ndege nchini humo linajiandaa kujenga uwanja mpya wa kimataifa kilomita 19 nje ya mji mkuu addis ababa.

  Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya wasafiri milioni 80kwa mwaka.

  Kampuni ya ushauri ya ufaransa ADPI imefanya utafiti na kuchagua eneo hilo kabla ya kuliwasilisha kwa shirika la uchukuzi wa anga la ethipia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako