• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini watarajia kukutana mwezi wa Februari nchini Vietnam

  (GMT+08:00) 2019-02-06 18:58:58

  Rais wa Merakani Donald Trump ametangaza kuwa, mkutano wa pili kati yake na kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-un utafanyika tarehe 27, mwezi ujao nchini Vietnam.

  Ingawa Bw. Trump hajatangaza mji wa kufanyika mkutano huo, lakini amesema, uhusiano kati yao ni mzuri. Nchi hizo mbili bado zina masuala mengi ya kujadiliana.

  Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema, mjumbe maalum wa Marekani anayeshughulikia mambo ya Korea Kaskazini Bw. Stephen Biegun atatembelea Pyongyang leo na kufanya maandalizi kwa mkutano huo wa siku mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako