• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Afghanistan iko tayari kusaini makubaliano ya amani na kundi la Taliban

  (GMT+08:00) 2019-02-07 18:39:47

  Ikulu ya Afghanistan imetoa taarifa ikisema, serikali ya nchi hiyo iko tayari kufikia makubaliano ya amani na kundi la Taliban ambayo yanaweza kufuata makubaliano kati yake na kundi la Hizb-e-Islami.

  Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema, mchakato wa amani wa nchi hiyo unapaswa kuongozwa na kudhibitiwa na waafghanistan. Anatarajia Afghanistan kutimiza amani yenye utulivu na heshima.

  Habari zinasema, serikali ya Afghanistan ilisaini makubaliano ya amani na kundi la Hizb-e-Islami mwezi wa Septemba, mwaka 2016.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako