• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Maduro wa Venezuela aitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi ya Venezuela

    (GMT+08:00) 2019-02-09 16:39:15

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela jana alisema kuwa hakukubali taarifa iliyotolewa na mkutano wa kikundi cha mawasiliano ya kimataifa kuhusu suala la Venezuela. Alisema kuwa, kufanya tena uchaguzi wa urais si jambo muhimu linalofikiriwa kwanza na serikali ya Venezuela na kuisisitiza Marekani kuiondolea vizuizi na vikwazo vya fedha Venezuela.

    Mkutano wa kikundi cha mawasiliano ya kimataifa kuhusu suala la Venezuela ulifanyika tarehe 7 huko Montevideo nchini Uruguay, wajumbe kutoka nchi za Latin America na Umoja wa Ulaya walihudhuria mkutano huo. Mkutano huo ulipitia taarifa ukisisitiza kutatua suala la Venezuela kwa njia ya amani na pia kuisisitiza Venezuela kufanya uchaguzi wa urais haraka iwezekanavyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako