• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa Fedha wa Botswana akanusha madai ya kuwekewa mtego wa madeni na China

    (GMT+08:00) 2019-02-10 16:20:00

    Waziri wa Fedha na Maendeleo ya Uchumi wa Botswana Kenneth Matambo amesema nchi yake itaendelea kushirikiana na taasisi za fedha za nje hasa za China.

    Akiongea kwenye mkutano na wanahabari Bw. Matambo amekanusha madai kwamba China inaweka mtego wa madeni kwa nchi zinazoendelea za Afrika, ikiwemo Botswana, ambayo hawawezi kuyalipa, na kusisitiza kuwa nchi yake haina tatizo na China. Amesisitiza kuwa walishawahi kushirikiana na China huko nyuma na wanajua wanachofanya kama serikali. Kulingana na Bw. Matambo Botswana anachukua tahadhari zote muhimu kabla ya kukaribisha taasisi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako