• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa Marekani nchini Afghanistan aanza ziara ya nchi sita

    (GMT+08:00) 2019-02-11 08:55:20

    Mwakilishi maalumu wa Marekani anayeshughulikia Maafikiano ya Afghanistan Zalmay Khalizad ameongoza ujumbe wa idara mbalimbali kufanya ziara nchini Ubelgiji, Ujerumani, Uturuki, Qatar, Afghanistan na Pakistan kuanzia jana tarehe 10  hadi 28, mwezi huu. Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi kamili ya kuhimiza mchakato wa amani unaokutanisha pamoja vyama vyote vya Afghanistan kwenye mazungumzo ya Waafghanistan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako