• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapambano yanayoendelea mjini Hajjah, Yemen yasababisha kuongezeka kwa vifo na watu waliokimbia makazi

    (GMT+08:00) 2019-02-11 08:55:44

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa nchini Yemen imesema mapambano yanayoendelea na mashambulizi ya anga mkoani Hajjah, katika mpaka wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo yamesababisha kuongezeka kwa idadi ya vifo vya raia na wakimbizi wa ndani tangu kuanza kwa mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi hiyo, familia elfu 25 au watu wapatao laki 1.5 wamehama makazi yao ndani ya mkoa wa Hajjah tangu mwezi Juni mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako