• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maelfu ya watu waandamana nchini Hispania wakimtaka waziri mkuu ajiuzuluzu

    (GMT+08:00) 2019-02-11 08:56:06

    Maelfu ya watu wameandamana barabarani katikati ya mji wa Madrid na kumtaka waziri mkuu wa Hispania Perdo Sanchez ajiuzulu na kufanya uchaguzi mpya. Ujumbe wa serikali ya Hispania mjini Madrid umehesabu watu wapatao elfu 45 wameshiriki kwenye maandamano hayo, huku vyama vya mrengo wa kulia vya Hispania vya PP na Ciudadanos ambavyo ni baadhi ya wapangaji wa maandamano hayo wakisema idadi kamili ni laki mbili. Maandamano hayo yaliitishwa na kiongozi wa chama cha PP Pablo Casado saa 24 tu baada ya kuonekana kwa shutuma mpya za ufisadi dhidi ya chama chake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako