• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wanne wafariki na wengine 7 kujeruhiwa baada ya teksi kudumbukia mtoni nchini Uganda

    (GMT+08:00) 2019-02-11 10:30:02

    Msemaji wa polisi wa mkoa wa Kyoga Mashariki Michael Odongo amesema watu wanne wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya teksi waliyokuwa wakisafiria kudumbukia mtoni katika wilaya ya Ngora nchini Uganda .

    Msemaji huyo amesema wahandisi wa kampuni ya ujenzi ya China wametumia mashine kuivuta teksi na abiria waliokuwemo ndani. Ameongeza kuwa miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa hospitali ya Ngora Freda Carr kwa uchunguzi zaidi na kupatiwa matibabu. Chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa teksi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako