• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamanda wa ngazi ya juu asema Marekani inaweza kuondoa askari wake nchini Syria wiki chache zijazo

    (GMT+08:00) 2019-02-11 17:01:32

    Kamanda wa kituo kikuu cha Marekani anayesimamia jeshi la nchi hiyo katika Mashariki ya Kati na Afghanistan Jenerali Joseph Votel amesema, Marekani inaweza kuondoa askari wake nchini Syria katika wiki chache zijazo.

    Jenerali Votel amesema hayo jana mjini Washington, na kuongeza kuwa hatua hiyo inategemea na hali itakavyokuwa nchini Syria. Hata hivyo, amesema idadi ya askari wa Marekani nchini Iraq itaendelea kuwa ya kutosha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako