• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kacey Musgraves na Childish Gambino wachukua tuzo za juu katika tuzo za Grammy za mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-02-11 17:02:18

    Waimbaji kutoka Marekani Kacey Musgraves na Childish Gambino kila mmoja amepata tuzo nne katika hafla ya kutoa tuzo za Grammy za mwaka 2019 iliyofanyika jana huko Los Angeles.

    Tuzo alizopata Musgraves ni pamoja na tuzo ya albamu ya mwaka na albamu bora ya mwaka ya muziki wa Country, huku Gambino akipata tuzo nne kupitia wimbo wake wa "This is America".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako