• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Korea Kusini asema mkutano wa pili kati ya Marekani na Korea Kaskazini kuwa hatua muhimu ya mabadiliko

    (GMT+08:00) 2019-02-11 17:03:12

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema mkutano wa pili wa kilele kati ya Korea Kaskazini na Marekani utakuwa hatua muhimu ya mabadiliko kwa ajili ya kumaliza kuondoa silaha za nyuklia kwenye Peninsula ya Korea.

    Rais Moon amesema hayo wakati akikutana na makatibu wake wakuu, na kuongeza kuwa mkutano wa kwanza kati ya Marekani na Korea Kaskazini ulikuwa ni tukio kubwa la kihistoria ambao uliacha hatua kubwa ya wazi katika historia ya dunia.

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un na rais Donald Trump wa Marekani wamekubaliana kukutana mjini Hanoi, Vietnam, kuanzia tarehe 27 hadi 28 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako