• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Uganda yasubiri mwekezaji wa mradi wa barabara ya Jinja Kamapla.

    (GMT+08:00) 2019-02-11 18:59:30

    Serikali ya Uganda inasubiri kupata mshirika wa kutekeleza mradi wa barabara kuu kati ya Jinja na mji mkuu Kamapla.

    Mradi huo unatarajiwa kugharimu dola bilioni 1.

    Wizara ya fedha nchini humo imesema tayari serikali imepata ufadhili wa dola milioni 400 kutoka kwa washirika wake wakiwemo Umoja wa Ulaya, benki ya maendeleo ya Afrika na Ufaransa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako