• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa Afrika kukua kwa asilimia 4 mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-02-11 19:00:25

    Uchumi wa bara la Afrika unatarajiwa kukua kwa wastani wa asilimia 4 mwaka 2019.

    Rais wa benki ya Benki ya Maendeleo ya Afrika Akinwumi Adesina amesema nwaka 2020 ukuaji hu o utaongezeka hadi asilimia 4.1.

    Adesina amesema fursa za kiuchumi barani humo zinavutia biashara na uwkezaji mkubwa duniani kote.

    Kwa mfano, alitaja makubaliano ya mwezi Machi 2018 ya kuanzishwa kwa Eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) ambalo litaunda eneo kubwa zaidi la biashara duniani.

    Alisema AfCFTA itatoa mfumo wa kuongeza biashara kwa angalau asilimia 100 Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako