• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Licha ya kutangaza kuachana na soka, Wambura afikishwa mahakamani

    (GMT+08:00) 2019-02-12 08:10:54
    Kupitia mwanasheria wake Emmanuel Muga, aliyekuwa makamu wa rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Michael Wambura ameridhia adhabu ya kufungiwa maisha na TFF na FIFA na kuacha kujihusisha na masuala ya soka.

    Licha ya kutangaza hayo, Wambura jana amepelekwa rumande baada ya kunyimwa dhamana kufuatia kusomewa mashtaka 17 katika mahama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam yakiwemo kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu zaidi ya shilingi milioni 100 za Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako