• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: CHAN 2020-Tanzania kukutana na Sudan, Kenya uso kwa uso na Burundi

    (GMT+08:00) 2019-02-12 08:11:12
    Droo ya makundi ya timu kwa ajili ya michuano ya kufuzu fainali za ubingwa wa mataofa ya Afrika ilifanyika kwenye makao makuu ya shirikisho la soka barani Afrika (CAF) mjini Cairo Misri kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati, ambapo yanajumuisha timu nane huku yakipigania tiketi mbili tu. Tanzania itakutana na Sudan, huku Kenya itamenyana na Burundi, Uganda wao watavaana na Sudan Kusini, Rwanda wao watakutana na Somalia.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako