• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MBIO ZA MAGARI: Rai ajiondoa duru ya Kajiado

    (GMT+08:00) 2019-02-12 08:11:42
    Bingwa mara tatu wa duru ya Nakuru ya mashindano ya magari ya kitaifa, Onkar Rai amefichua hatashiriki duru ya pili itakayofanyika katika kaunti ya Kajiado mapema mwezi Machi mwaka huu.

    Onkar ameeleza shirikisho la mbio za magari za Kenya (KMSF) kwamba amekabwa na majukumu ambayo hawezi kuyaepuka. Hata hivyo, mshindi huyu wa ligi ya daraja ya pili ameahidi kurejelea kampeni za kutafuta taji lake la kwanza kabisa la Kenya katika duru ya tatu itakayoandaliwa mjini Eldoret.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako