• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuwasaidia watu milioni 10 kuondokana na umaskini mwaka huu

  (GMT+08:00) 2019-02-12 09:39:28

  Mwaka huu, China itaendelea kufanya kazi kwa bidii ili kupunguza umaskini na kuwakwamua watu milioni 10 kwenye lindi la umaskini ili kuweka msingi imara kwa ajili ya kushinda mapambano dhidi ya umaskini.

  Hayo yameamuliwa kwenye mkutano wa utendaji wa Baraza la Mawaziri ulioitishwa na waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang. Mwaka jana, China ilizindua mpango wa miaka mitatu wa kupambana na umaskini. Waziri mkuu Li Keqiang ameapa kupunguza idadi ya watu maskini kwa milioni kumi kila mwaka katika ripoti zake za kazi za serikali katika miaka mitano iliyopita, na ametoa miongozo mahususi kuhusu njia za kuhimiza kazi hiyo na jinsi ya kutumia vizuri mifuko ya kupunguza umaskini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako